It is a way to pass through difficult times.

Sweat rolled down his cheeks and reached his mouth like a tear of unspeakable grief in the face of hunger and the challenges of the harsh and unbearable suffering of humanity, that is, just cruelty.

Surely that is a sign of the maturity of the suffering and ridicule that afflicts the fighter
hunger and seeing the light of success for him is quite hard on the neck of the threshold of a better life.

Hunger is the epitome of evil, good and temptation.
Building yourself to practice poverty is not a foolish way but a hub of positive and productive ideas to bring you financial benefits to lead you to eternal happiness.

Man is the basic gender to build the infrastructure of social development.
BUILD CONFIDENCE PRACTICES.


SALVIUS ✍️
 
 
 
 Ni njia ya kupita wakati wa magumu.

Jasho latililika juu ya shavu na kufikia kinywani kama chozi la huzuni usio kifani mbele ya njaa na changamoto zilizo jaa magumu na mateso yasio vumilika kwa hali ya kibinadamu yaani ni kama unyama tu.

Hakika hiyo ni ishara ya ukomavu wa mateso na dhiaka zinazomkumba yule mpambanaji wa
njaa na kuiona nuru ya mafanikio kwake ni ngumu kabisa kwenye shingo ya kizingiti cha maisha bora.

Njaa ni kitovu cha maovu,mema na majaribu.
Jijenge kwa kujizoeza kufanya umaskini sio njia ya kipumbavu bali ni kitovu cha mawazo chanya na yenye tija ya kukuletea mafao ya pesa ili zikupeleke kwenye furaha ya milele.

Mwanaume ni jinsia ya misingi ya kujenga miundombinu ya maendeleo ya jamii.
    TUJENGE MAZOEA YA KUJIAMINI.